|
|
|
|
|
| Swala-Sehemu
ya Tano |
|
|
|
|
|
- Je
ni thawabu gani mtu anapata akitoa uradi
baada ya swala?Pia ni uradi upi unatolewa
kwa wakati upi?
- Muislamu
kwenda kuangalia maiti ni ruksa au
hairuhusiwi, Kwa kifupi maiti
kama vile wasio kuwa Waislamu
wanavyoionyesha na mimi kwenda kuangalia
naruhusiwa.
Nitafurahi sana nikipata jibu with
reference from Hadithi au kitabu chetu
kitukufu.
- Je,
yafaa mtu kuswalisha kwa mfano akasoma
suratu Twaha kama aya 5 hivi au kumi
za mwisho kisha akarukuu na kusujudu
kisha akija tena rakaa ya pili mfano asome
Wanaziati hivyo hivyo tuseme aya tatu za
mwanzo au aya mbili tatu
za mwisho ilimradi asimalize ?
- Je,
inafaa kuswalisha msikitini kwa kelele sana
mpaka majirani au walioko karibu na mbali
wakawa mtu unababaika kama uradi wako wasoma
inkuwa huwezi au kama waswali pia wababaika
hujui umfuate yeye huyo imamu na huko
msikitini , na hii yote ni haya maspika ya
sasa je inafaa basi waweke sauti juu ?
- Swali
langu ni mimi nimeishi na mwanamke asiye
muislam mimi nikiwa muislam,baadae amesilim
na anasoma dini na tumefunga ndoa, je ni
halali?
- Mwanamke
anatakiwa atie vipi udhu kichwani?kwa mfano
maji yaguse nywele au utosi,na maji yaguse
nywele zote au utosi wote.
- suala
langu nikitaka kujuwa nnamtoto wa nduguyangu
anataka kujuwa, ana mtoto wa kike,amebalekh
umri wa miaka 9 unusu, bado anaakili za
kitoto sana na wazee wake wanajitahid
kumuhimiza kuswali anakuwa haswali mpaka
aambiwe, na kujifunga mitandio ndio hayawezi
hata kidogo, hukumu ya wazee wa mtoto huyu
ni nini.
Rudi
Nyuma
|
|
|
|
|
|
| |
|
|
| Tuandikie |
| |
|