|
|
|
|
|
| Swala-Sehemu
ya Nne |
|
|
|
|
|
- Assalam
Alaykum. Suala langu ni kuwa jee wakati mtu
anasikiliza Qur-an na ikasomwa aya amabayo
inalazima kusjudu, na huyu mtu hayupo katika
tohara, au hana udhu, au yupo katika janaba,
na jee kama yupo katika mazingira amabayo
anawasi wasi juu na usafi wa hapo pahala
mfano hana msala, afanye nini ?
- Nafahamu
kuwa chombo kikinuswa na mbwa nikikoshe mara
saba moja wapo ni kwa mchanga, napenda
kuuliza: siku moja nilikuwa natembea mara
nikahisi kuna kitu kimenigonga mguuni kwa
kutizama nikamuona mbwa anapita mbele yangu
kwa hiyo atakuwa yeye ndio alienogonga.Jee
suruali yangu nitatahirisha vipi? natakiwa
niikoshe kwa mchanga au mara ngapi,ila mimi
niliikosha kwa kawaida tu lakini sijawahi
kuisalia bado kwani nina wasi wasi nayo.
Naonmba ufafanuzi na ALLAH atuzidisie elimu
yenye manufaa Amin.
- MIMI
NAKUWA NATOKA NYUMBANI KABLA YA SALA YA
ADHUHURI NA HUWA NARUDI KUTOKA KAZINI BAADA
YA LAASIRI NA KAZINI SIPATI KUSALI JEEE
NISALI VIPI ILI NIWEZE KUKAMILISHA SALA
ZANGU?
- naomba
kufahamu zidi namna ya kuzisali hizi sunna
tatu
1)AWABIN
2)ISHRAQ
3)DHUHA
- Kati
ya sala tano tulioteremshiwa Waislamu
Adhuhri, Al Asry, Mahgrib, Ish'a na Al Fajri,
ipi sala ya kwanza?
- Kuna
hadith katika sahih bukhar isemayo hivi (
sama hani kwa kuwa huenda ni ka inukulu
vibaya ) Eti Umar r.a. ndiye mu anzili
shi wa swala jamaa ya Tarawehe, samahani
kuna kitu ambacho mimi mwenye we nina weza
nika sema kuwa ni uzushi kwa watu ambawo
hawa taki ma sahaba.
Nili kuwa nina hitaji msaada wenu na ushauri
( ni vipi hadith kama hizi zina weza ku igwa
na ku bainisha uha kika na kutolewa katika
sahih buhari )
kwa sababu nikama tu juwa vyo mtume Muhamad
s.w.w. mwenye we kasema "Nina waachia
vitu vi wili ikiwa mta vi fuata hamta potea
kamwe ( Qor'an & Suna ) " sasa
ikiwa mtume s.w.w. ka acha hivyo vitu viwili
itakuwa je katika kimoja mwahi vyo papa
tikane emo vitu ambavyo wana sema kuwa vili
kuwa kabla yake ? mimi nina ona hiyi ni mi
pango ya wenye kuchukia ma sahaba ! ikiwa
tarawehe ya jamaa ika anzishwa nyuma ya
mtume s.w.w. vipi hayo ya patikane katika
vitu ambavyo ame viacha ( kwa upande wangu
mimi kwa ku pitia hii kauli ya kuwa ni me
waachia vitu vi wili, bila shaka ya nyuma
yaka andikwa aje ka tika suna ).
Kwa kuma li zia ili kuweka wa Islam wenza
ngu kwenye mwanga :
Ikiwa kweli hiyo ni adith ya mtume s.w.w.
ili pokelewa na nani na ku toka kwa nani (
usi sahau wana sema ni baada ya mtume s.w.w.)
Nina taka msaada kwa kujuwa ukweli zaidi
kuhusu haya na kama si ukweli tufanye nguvu
sasa ya ku towa maneno kama haya katika
hadith za mtume s.w.w.
Nina ku mbusha : NIME WAACHIA VITU VI WILI
IKIWA MTA VIFUATA HAMTA POTEA
- Swali
langu napenda kufahamu kuhusu kukubalika kwa
dua,katika sijda dua inakubalika.Je ni
katika sijda ya swala hizi tano za lazima au
swala za sunna?
Pia kabla ya kutoa salam katika swala pia
napenda kufahamu katika swala hizi
tano au za sunna?
- Kati
ya sala tano tulioteremshiwa Waislamu
Adhuhri, Al Asry, Mahgrib, Ish'a na Al Fajri,
ipi sala ya kwanza?
- Ikiwa
mimi nimechelewa wakati wa SALA katika ile
takbira ya kwanza ya
kisimamo cha surat-fat'ha, Kisha nimemkuta
imamu yupo katika rukuu (kashika magoti) na
mimi pale nataka kumuwahi imamu katika hali
ya kawaida na wala sio kukimbilia. JE,
mimi itanipasa nilete Takbira MBILI AU MOJA
tu?. Nikiwa na maana kwamba mimi
niliyechelewa naweza kuleta takbira moja tu
kisha nikarukuu moja kwa moja Au Itanipasa
nilete takbira mbili (ALLAH AKBAR -ya
kufungua Sala, kisha nilete nyingine ALLAH
AKBAR -ya kurukuu)??
- Naanza
kwa kumshukuru MwenyeziMungu Mola wa Viumbe
wote na kumtakia Rehma Mtume wetu
Mohamad(SAW).Ama baada ya Utangulizi
ningependa niulize suala (1)Mbwa ni najisi
suala je vipi kuhusu wale ambao hufugwa
majumbani ama kwa ulinzi au kwa usasi ?
(2)Kuhusu suala la Udhu huku Marekani
nimewaona wanatia udhu lakini hawavui soksi
au za kawaida wala si za ngozi tena hufanya
ishara tu mara moja tu tafadhali naomba
majibu kwa uhakika na ikewezekana nionyeshe
wapi nitapata ushahidi . ??
JIBU
Rudi
Nyuma
Endelea
Mbele
|
|
|
|
|
|
| |
|
|
| Tuandikie |
| |
|