|
|
| |
MASWALI
NA MAJIBU-Masuala mengine ya Dini |
| |
|
| Masuala
mengine ya Dini -Sehemu
ya Sita |
|
|
|
|
|
- Je;
KUFUATA HAWA MAIMAMU WANE Hanafi, Hambali,
Malik na Shafi, ni haramu? Kwa naswi ya
Kuran na hadithi za Mtume(SAW)?, au siharamu?
asalaamalykum, nashukuru kwa Mola mtukufu
kwakuweko site hii ya dini kwa kiswahili.
Suali langu naomaba unifahamishe Je; KUFUATA
HAWA MAIMAMU WANE Hanafi, Hambali, Malik na
Shafi, ni haramu? Kwa naswi ya Kuran na
hadithi za Mtume(SAW)?, au siharamu?
- JEE
KUNA HEKIMA GANI KWA MTUME KUOA WAKE MKUBWA?
NAJEE KWA SISI WAFUASI WAKE TUNAWEZAJE
KUITUMIA HEKIMA HIYO KAMA IPO?
- leo kwetu unguja kumejiokeza watu wasiokuwa wa dini yetu wananunua ardhi
na kama inavojulika sehemu kubwa ya ardhi ya
hapa ni ya kunyanganya na upande wa pili
tunaambiwa haifai kununua kilichodhulumiwa
swali tukiwachia wanunuwe hao wasiokuwa
katika sisi ardhi wataimaliza sisi
haturuhusi kukununua kwa nilivyo fahamu mimi
jee tufanye nini tuwachie wanunue
JIBU
Rudi
Nyuma
|
|
|
|
|
|
| |
|
|
| Tuandikie |
| |
|