|
|
|
|
|
| Ndoa
na Talaka -Sehemu
ya Tano |
|
|
|
|
|
- Napenda
kujua hadi kuitwa Swahaba unatakiwa kuwa na
sifa zipi, au ni wale wote waliokuwepo
kipindi cha Mtume na wakapigania dini?
Na je wanawake nao hutumika jina lipi? Ni
wanaume tu ndio hutumia jina hilo la swahaba.
Maana hata wanawake walipigania dini je wao
huitwaje?
- Suala
langu ambalo ningeomba ufafanuzi wa kina ni
kama lifuatalo:-
1.Je kitendo cha muislam kuhama nchi yake ya
asili na kwenda nchi nyingine kwa sababu za
kiuchumi inaruhusiwa?
2. je muislam huyo mara afikapo safari yake,
je anaruhusiwa kuongopa kama yeye ni
mkimbizi katoka sehemu fulani ambayo
inajulikana kama ina matatizo( eg somalia,
burundi etc) ili apate kuruhusiwa kukaa ktk
ile nchi?
3. Ktk hizi nchi zinazoitwa 'dunia ya kwanza',
huwa wanatoa misaada kwa hawa wakimbizi,
kama vile nyumba ya bure, pesa ya chakula,
elimu, nguo na mengineyo... Je muislamu huyu
anaruhusiwa na yeye kupokea vitu hivi?
NB: Nchi hizi huwa wanaweka masharti kwamba
kama una uwezo wa kufanya kazi basi
hauruhusiwi kupata msaada uwapo nchini,
lakini kuna baadhi ya watu wanafanya kazi na
pia wanaomba hiyo misaada iliyotajwa hapo
juu kutoka ktk hizi serikali.
4. watu hawa 'wakimbizi', wengi husema kuwa
wapo ktk nchi za kikafiri, hivyo basi ni
halali kuchukua mali ya kafiri, je hii ni
sahihi.
5. Je kuna hukumu gani kwa watoto ambao
wanazaliwa na kukuwa ktk familia ambazo zipo
ktk mfumo kama uliotajwa hapo juu.
- Ndugu
zetu wahusika,mimi ni mmoja kati waislam
tunaoishi London.Pamoja na dunia kuwa fupi
kwa maendeleo lakini bado tunatatizwa na
namna ya tarehe za Kiislam hasa inapokaribia
Mwezi Mtukufu Wa RAMADHAN.Imekuwa mpishano
ni mrefu kuliko hata Dunia jinsi
ilivyopishana,hivi sasa pia tumetafautiana
sana katika funga za Miraji.Ninachowaomba
Ndugu zetu mtuelimishe Nini hasa
Miraji,imetokea wakati gani ni ili tuipate
sahihi ni wakati gani inajuzu kufunga
Miraji.Kwa hayo machache naomba maelezo hata
kama kwa kirefu ili tuamshane
- Nini
mtizamo wa uislam juu ya suala la uhamishaji
makaburi. ikizingatiwa kuwa kipindi hiki
ndio tuna mtihani huu ambao makafiri
wanaona ni jambo linalostahili.
- Mimi
ni muislam ninaeishi katika nchi za Wazungu
nauliza jee dini yangu inaruhusu kuishi huku?
- swala
langu ki kuhusu adabu ya mtoto wa kiume kwa
mama yake ? Je mtoto wa kiume akisha kuwa
balegh akil,yaani mtu mzima,ana ruhusa ya
kujitafutia maisha yake bila ya kumshauri
mzazi wake ?? mtoto wa kiume alitaka safiri
uzunguni kufanya kazi (uzunguni huko aliko,
anafuata dini, na uislamu uko kwa wingi),
akawaeleza wazee wake?baba yake akakubali
ende lakini mama yake anachukia uzunguni na
akakataa kabisaa asiende.kijana huyu
ilipowadia wakati wa safari alimuaga mama
yake lakini mama akakataa kumsikiza.kijana
akasafiri na kupiga simu,lakini mamake
hataki hata kusema nae.sasa ni mwaka mzima
hajaongea na mwanawe na hataki hata kumsikia
sauti.jee kijana huyu huwa amekosa radhi ya
mamake?? na kisheria huwa amekosa?? japo
yeye yuwataka kujumuika na mamake na kumpa
heshima sana, lakini mamake ndie aliemfungia
mdomo.jee mama huyu anapata dhambi kwa
kumnyamazia mwanawe? na kidini ni haki zipi
,kijana huyu alonazo kwa mamake??? na jee
yupi ndiye mwenye makosa???
- suala
langu ni kuhusu hawa watoto wa nje ya ndoa (zinaa).
Hapo kwanza nilichanganyikiwa kuhusu ile
hadithi ya mtume kama huyu mtoto asijiite
kwa nasabu ya baba yake. Je, ajiite kwa
nasabu ipi, tena na kama huyu mtoto
amejaaliwa kupata uwezo na hamuangalii huyu
baba ambaye amemzaa kwa nje ya ndoa. Je, ana
jukumu lipi au anapata dhambi?
- Asalaam
aleikum! kama umefiwa na mzazi wako ni dua
gani za kumuombea katika maisha ya uzima
wangu? na nina imani kuna dua nyingi na sura
nyingi katika kuruani naomba mnitajie dua na
sura na nyakati zifaazo kumuombea mzee
wangu!na marehemu wengine!na ni mambo gani
mengine ambayo mimi naweza nikafanya thawabu
zake zimwendee marehemunaomba mnifahamishe.
Asalaam aleikum! kama umefiwa na mzazi wako
ni dua gani za kumuombea katika maisha ya
uzima wangu? na nina imani kuna dua nyingi
na sura nyingi katika kuruani naomba
mnitajie dua na sura na nyakati zifaazo
kumuombea mzee wangu!na marehemu wengine!na
ni mambo gani mengine ambayo mimi naweza
nikafanya thawabu zake zimwendee
marehemunaomba mnifahamishe.
- je
inajuzu kwa wanaume umri umepindukia miaka
15, kutia manukato mpaka yakasikilizana
harufu yake?
- wapi tunapata sharia ya kuua kwa wale wenye kupatikana
na kosa la kuzini?
JIBU
Rudi
Nyuma Endelea
Mbele
|
|
|
|
|
|
| |
|
|
| Tuandikie |
| |
|