Makala
Mwanzo
Uislamu-Utangulizi
Fiqhi na Sheria 
Akhlaaq-Tabia
Sira ya Mtume
Nasaha za dini
Maswali na Majibu
Uliza Suala la dini
Jiunge na Mtandao

 

  MASWALI NA MAJIBU-Swala  


Swala-Sehemu ya Pili                              
 

 

  1. Mtume (S.A.W) alikua akisali sala gani za usiku na vipi.

  2. Nini hukumu ya mtu kaingia msikitini, salaa ya alfajiri imeshaanza kwa kidogo,  Jee akimu salaa na Imaam au asali sala ya suna kwanza khalafu asali faridha peke yake?

  3. IKIWA NIMEISHA TAWADHA NATAKA KWENDA KUSALI AMENIPITIA MBU AU MENDE NIKAMUUWA KWA KIATU ITAKUWA UDHU WANGU UMEISHA KATIKA ITANIBIDI NIKATAWADHE TENA?

  4. Inafaa kusali salaa ya suna ya ishaa wakati wa baada ya salaa ya magharibi?

  5. Mimi nauliza.Jee ikiwa mtu amechelewa kufika wakati wa sala ya Ijumaa,na tayari watu washasali raka ya mwanzo,jee mimi nikijumuika nao katika  raka ya pili,halafu nikamaliza raka yangu yapili peke yangu,jee sala yangu itakubalika,kama nimesali ijumaa ya Jamaa.

  6. IPO RUHUSA YA KUMWACHIA MAJI MNYAMA {PAKA}KAMA HAMNA MAJI MTU YEYE AKATAYAMMAMU .JE KAMA MAJI HAYO {MENGI NUSU NDOO} NA PAKA AMEYANYWA NA KUYABAKISHA YANAFAA KUONDOLEA JANABA NA KUCHUKULIA UDHU??

  7. IKIWA MTU AMEISHA MALIZA KUSALI, AMEOMBA DUA ZAKE AKAJINYOSHA KWENYE MSALA UKAMCHUKUWA USINGIZI, AKATOKA DENDA, SASA ILE NGUO ALIO JIFUNIKIA IMEPATA LILE DENDE ATAWEZA KUIVAA TENA KWENYE SALA NYINGINE BILA KUIOSHA?

  8. IKIWA MWANAMKE ANATAKA KUSALI ITAMJUZIA AFUNIKE MIGUU YAKE KWA NGUO MWISHO WA VIFUNDO VYA MIGUU YAKE AU LAZIMA AFUNIKE YOTE ISIONEKANE HATA NYAYO ZAKE ZA MIGUU. KWANI MASHEKHE WANATAKHLIFIYANA HATUJAUPATA UKWELI HASA NI UPI.

  9. ndugu  mashehe  zangu naomba munijibu swali  hili.je  unaweza  kuswali hali  ya kuwa  umevaa  nguo  yenye  manii?

  10. Napenda kuuliza kuhusu namna ya kulipa kadha za sala kwasababu mimi nafanya kazi muda ninapata jioni siruhusiwi kutoka mchana na tajiri yangu  kwahiyo sala ya adhuhuri na alasiri zinanipita nifanye nini?

JIBU

 

Rudi Nyuma                                                  Endelea Mbele


| Tuandikie |